Andika ujumbe mmoja tu baada ya hapo tuma kwa watu wengi kwa pamoja! Kwenye harusi, taasisi, mifumo, au shughuli yoyote ile ya kijamii.
Chagua kifurushi kinacho kufaaa
Andika sms yako, au chagua ulizo wahi kuzituma
Mfano una namba nyingi kwenye excel unaweza kuziupload zote kwa pamoja au ukaandika contact moja moja
Una weza kutuma papo kwa papo, au ukapanga mda wa sms hiyo kutumwa